Shamba la Nyuki
Jambiani, Zanzibar

Nafasi za kaziJob openings

Tunatafuta:We are looking for:

Mahali: Jambiani, kama kilomita 2 kutoka barabara kuu (dakika 20 kwa miguu).
Mshahara: kwa makubaliano.
Location: Jambiani, about 2 km from the main road (20 minutes on foot).
Pay: by agreement.

Mfanyakazi wa shambaFarm worker

Kazi za shamba kwa ujumla; kwa sasa kazi ya kwanza ni kulima na kuandaa shamba jipya. Ukifanya vizuri, kazi zaidi au ajira ya kudumu inawezekana. Utalipwa kwa kila kazi. Ni kazi ngumu ya nguvu, nje kwenye jua. Utapata chakula cha mchana.General farm work; for now the first job is digging and preparing a new field. If you do well, more work or permanent employment is possible. Pay per job. The work is physical, in the sun. Lunch is included.

Yaya (mlezi wa mtoto)Nanny

Kumtunza mtoto mmoja wa miaka 2: kucheza bila simu wala TV, chakula, usafi na usalama. Kazi ni ya mchana shambani. Utapata chakula cha mchana. Ukiwepo wakati wa milo mingine, utakula pamoja nasi.Looking after one child, aged 2: play without screens, meals, hygiene and safety. Daytime work on the farm. Lunch is included. If you are present at other meal times, you eat with us.